2018-02-28 16:35:00

Ujumbe wa Kard.Turkson kwa Siku ya XI ya Magonjwa Adimu Duniani!


Hotuba ya Kardinali Peter Turkson, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Maendeleo Endelevu ya Binadamu kwa siku ya XI ya Magonjwa Adimu duniani 2018  ikiwa na kauli mbiu “Jioneshe  upo karibu wa yule mwenye ugonjwa Adimu. Barua yake inaelekeza kwa  wenyeviti wa mabaraza ya Maaskofu, maaskofu wanaojikita na shughuli ya kichungaji ya Afya, watawa kike na kiume, wahudumu wa afya na kichungaji , watu wa kujitolea na wenye mapenzi mema na zaidi ndugu kaka na dada wote wenye magonjwa nadra na familia zao.

Toleo la 11 la Siku ya Magonjwa Adimu Dunia, yenye kauli mbiu “ Jioneshe ukaribu kwa yule aliye na ugonjwa Adimu, inajikita juu ya utafiti wa wataalamu kisayansi. Licha ya maendeleo makubwa yaliyofanyika hadi sasa, magonjwa adimu yanajulikana kidogo kati ya maelfu ya magonjwa  ambayo tiba yake ni kidogo kwa watu karibia milioni 400 walio nao magonjwa adimu.

Kwa maelfu ya magojwa haya kwa upande mwingine hakuna mwenye kuwa na ufahamu kisayansi. Utafiti unaendelea japokuwa taratibu lakini bado inabaki kuwa ndiyo msingi kwa kufikiria mantiki hizi katika matendo ambayo yanasaidia kutibu kwa dhati magonjwa adimu

Inajulikana sana kuwa magonjwa adimu, hayatiliwi maanani katika uwekezaji wa famasi hasa  katika nchi nyingi ambao uwekezaji wake ni katika utafiti wa magongwa yajulikanayo. Kwa kutaja magonjwa ya asili wanatumia kusema ni magonjwa yatima na mara nyingi ni magonjwa yenyewe ya kutoa sauti , kwa kuandaa mashirika maalumu . Lakini iwapo magonjwa na famasi ni yatima basi,hatuwezi kuwaacha yatima ambao ni watu. Kila mgonjwa lazima apokelewa na kupendwa; hakuna yoyote wa kumhukumu na kuachwa pweke. Yesu mwenyewe alifundisha kuwa binadamu daima ni mwenye thamani na ambaye ana hadhi; hakuna yoyote anaweza kumfuta hata kwa ugonjwa.  Wote wanaalikwa kuchangia katika utafiti ili kuweza kusaidia uwekezaji katika mipango ya utafiti ambao unaweza kuwa mwafaka na lazima katika jumuiya ya kimataifa.

Vyama kati ya Mashirika ya Afya duniani, nchi na Mashirika yasiyo ya kiserikali ni njia mwalimu kwa ajili ya kupambana kwa dhati na magonjwa adimu.Ni kuwajibika katika kujenga mpango wa kimataifa ili kuweza kutatua na kufanya uatafiti ili uwafikir idadu kubwa ambayo inaweza kuleta matokeo muhimu, ili kupunguza idadi wa vifo vingi vya watu duniani wanao ishi na magonjwa adimu yasiyo ponyeshwa. 

Kardinali Peter Turksoni anashukuru vyama vya wagonjwa ,vituo,, watafiti , wataalamu wa afuya makampuni ya madawa,famasi, mahospitali na taasisi zote zinazojikita kuwasaidia  hata katika utafiti. Anawashukuru hata watu wote wenye mapenzi mema kwa ushirikiano wao katika shughuli hii .

Kwa namna ya pekee haya kuiwanda cha famasia ambapo anatoa wito ili kwa uwezo wao uwezeo kuweli kuwsaidai katika utafiti wa magonjwa nadra. Kwa maana ni sababu ya dharuata na ambayo lazima iendelee.Kanisa kwa njia ya taasisi nyingin za afya, na vituo  vya utafiti, vinafuatilia kwa makini hali hali halisi ya watu wenye magonjwa adimu kila mahali dunia. 

Baba Mtakatifu mara nyingi kwa nguvu amekuwa makini kwa watu hawa na kwamba iwe ndiyo kipaumbele cha Baraza jipya la Mandeleo yendelvu ya watu. Kwa njia hiyo Siku ya XI ya Magonjwa adimu dunuani ni fursa yenye thamani kwa kusisitiza juu ya uwajibikai wa Baraza hili jipya la Papa , kwa njia yake na Kanisa nzima kujikita kusaidia watu wenye kuwa na magonjwa nadra na familia zao.  Papa anasema Kanisa daima ni kambi ambalo litaendelea na shughuli hiyo ya kuwa karibu na kusidikiza binadamu anayeteseka!.

Sr Angela Rwezaula
Vatican News!








All the contents on this site are copyrighted ©.