2017-10-24 17:05:00

Papa amemteua Msimamizi wa Kitume wa Jimbo wazi la Gweru Zimbabwe


Tarehe 24 Oktoba 2017 Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Michael Dixon Bhasera, wa Jimbo la Masvingo kuwa Msimamizi wa Kitume katika Jimbo liliokuwa wazi  la Gweru Zimbawe .Jimbo Katoliki la Gweru lilianzishwa  mwaka 1955 ni sehemu ya Jimbo kuu la Bulawayo, Zimbabwe. 

Sr Angela Rwezaula
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican

 








All the contents on this site are copyrighted ©.