Watu 850 nchini Italia wamekufa kutokana na ajali kazini , kwa mujibu wa shirika
la Ulinzi kazini la Vega Engineering wakitoa takwimu hizo zinazoonyesha ajali kuanzaia
mwezi wa Januari – Oktoba 2016.
Ajali za watu 632 waliokufa wakiwa kazini na 218 hajali za kifo kuanzia Januari
hadi Oktaba 2016. Ni asilimia 13,3% sawa na (ongezeko la watu 97) ukilinganisha na
mwaka jana 2015 ambapo takwimu zawa n ana sasa ilikuwa watu 729 waliokufa kwa ajali
kazini.
Mikoa yenye idadi kubwa ya ajali kazini ni mikoa ya kaskazini mwa Italia na Kusini
.Taarifa zaidi zinasema sekta ya uchumi kwenye ujenzi diyo inayoonyesha namba kubwa
ua vifo watu 96 ambayoni asilimia 15,2% ya jumla ya vifo kazini, na asimlia nyingine
ya shughuli za kilimo watu 84 waliokufa asilimia ya 13,3 na sekta ya usafirishaji
na makampuni watu 77, asimilia 12,2% ya jumla ya ajali .
Zaidi hayo watu 97 waliokufa kwa ajali kazini mi wahamiaji ambao ni asimilia 15,3
% na 42 wanawake.Vifo hivi vimewakumba wat wenye umri kati ya 45-54, na matukio ya
vifo hivyo ililinganiswa na idadi ya wakazi inahusisha hata zaidi ya wenye umri wa
miaka 65.Taarifa zinasema ni matumaini yao kwamba kutokana na takwimu hizo ziweze
kuwafikia vyomo vya habari na kuwasaidia watu wengine waweze kueneza utamaduni wa
usalama kazini.
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vaticana.
All the contents on this site are copyrighted ©. |