2016-10-28 16:37:00

Wajumbe wa Baraza la Ibada, Nidhamu na Sakramenti za Kanisa!


Baba Mtakatifu Francisko, amewateuwa wajumbe wa Baraza la Kipapa la Ibada, Nidhamu na Sakramenti na Sakramenti za Kanisa. Kutoka Kanisa Barani Afrika walioteuliwa ni wafuatao:  Kardinali John Olorunfemi Onaiyekan, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Abuja (Nigeria); Kardinali Philippe Nakellentuba Ouédraogo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Ouagadougou (Burkina Faso); Askofu Arlindo Gomes Furtado, wa  Jimbo la Santiago de Cabo Verde (Cape Verde); Askofu msaidizi Jean‑Pierre Kwambamba Masi, wa Jimbo kuu la Kinshasa (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo).

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S.

Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican.








All the contents on this site are copyrighted ©.