2016-05-04 14:18:00

Yaliyojiri kikao cha CCM Chamwino, Dodoma!


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imekutana Februari 03, 2016, Ikulu ya Chamwino, nje kidogo ya mji wa Dodoma.Katika kikao hicho, Kamati Kuu pamoja na mambo mengine imefanya yafuatayo:- 1. Kamati Kuu imempongeza Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduizi kwa kura nyingi katika uchaguzi wa marudio uliofanyika tarehe 20 Machi, 2016 huko Zanzibar. Kamati Kuu pia imewapongeza wananchi wa Zanzibar kwa kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi kwa kukipa ushindi wa kishindo katika nafasi ya Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani.

2. Aidha Kamati Kuu imepitisha majina ya Wabunge wa CCM 21 walioomba nafasi za Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kupitia Wabunge wa CCM katika Bunge la Tanzania. Waliopitishwa ni:-

1. Ndugu Munde Tambwe Abdallah
2. Ndugu Jamal Kassim Ali
3. Ndugu Faida Mohamed Bakari
4. Ndugu Mbaraka Kitwana Dau
5. Ndugu Alex Raphael Gashaza
6. NduguHawa Abdulrahaman Ghasia
7. Ndugu Ibrahim Hassanali Raza
8. Ndugu Angellah Jasmine Kairuki
9. Ndugu Dr.Hamis Andrea Kigwangalla
10. Ndugu Prof. Norman Sigalla King
11. Ndugu Livingstone Joseph Lusinde
12. Ndugu Dr. Angeline Sylester Mabula
13. Ndugu Almas Athuman Maige
14. Ndugu Angelina Adam Malembeka
15. Ndugu Agnes Mathew Marwa
16. Ndugu Yahaya Omary Massare
17. Ndugu Stephen Hirary Ngonyani
18. Ndugu Stanslaus Nyongo
19. Ndugu Mattar Ali Salum
20. Ndugu Peter Serukamba
21. Ndugu Hafidh Ali Tahir

Pia imepitisha majina kumi na tisa (19) ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walioomba kugombea nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Waliopitishwa ni:-

1. Ndugu Nassor Salim Ali
2. Ndugu Ali Khamis Bakari
3. Ndugu Salma Mussa Bilal
4. Ndugu Mgeni Hassan Juma
5. Ndugu Riziki Pemba Juma
6. Ndugu Yussuf Hassan Iddi
7. Ndugu Khadija Omar Kibano
8. Ndugu Shamata Shaaame Khamis
9. Ndugu Mmanga M. Mjawiri
10. Ndugu Dkt. Khalid Salum Mohamed
11. Ndugu Asha Abdalla Mussa
12. Ndugu Mihayo Juma N’hunga
13. Ndugu Zulfa Mmaka omar
14. ndugu Hamad Abdalla Rashid
15. Ndugu Mohamed Ahmada Salum
16. Ndugu Harusi Said Suleiman
17. Ndugu Haroun Ali Suleiman
18. Ndugu Issa haji Ussi (Gavu)
19. Ndugu Bahati Khamis Kombo

3 Kamati Kuu pia imepitisha majina ya Wabunge wa CCM wanne, walioomba nafasi ya Katibu wa kamati ya wabunge wote wa CCM.

Waliopitishwa ni :-
1. Mhe. Jason Samson Rweikiza
2. Mhe. Mary Pius Chatanda
3. Mhe. Mariam Nassoro Kisangi
4. Mhe. Abdala Hamis Ulega

Pia imepisha majina matatu ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walioomba nafasi ya Katibu wa Kamati ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM Waliopitishwa ni:-

1. Mhe. Ali Suleiman Ali (Shihata)
2. Mhe. Ali Salum Haji
3. Mhe. Abdallah Ali Kombo

4. Katika kikao hicho pia Kamati Kuu imepitisha majina ya wanaCCM walioomba nafasi wazi mbalimbali za uongozi.

(a) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibondo
(i) Ndugu Josephat Mizozi Ntambindi
(ii) Ndugu Gilbert Ntausiga Kagoma
(iii) Ndugu Malck Daudi Rudugu

(b) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Wilaya ya Handeni
(i) Ndugu Omar Abdallah Kigoda
(ii) Ndugu Maajabu Athuman Hamis
(iii) Ndugu Musssa Said Kidato
(iv) Ndugu Hamis Hamad Mnondwa
(v) Ndugu Athuman Yahaya Lukoya

(c ) Katibu wa Uchumi na Fedha, Mkoa wa Mbeya
(i) Ndugu Charles Michael Mwakipesile
(ii) Ndugu James Mwampondele Mwasunga
(iii) Ndugu Stephen Issac Mwakajumulo

(d) Katibu wa Uchumi na Fedha, Mkoa wa Njombe
(i) Ndugu Creiton Patric Lulambo
(ii) Ndugu Salu Batwel Sanga
(iii) Ndugu Reuben Erick Nyagawa


Imetolewa na:-
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Christopher Ole Sendeka
MSEMAJI WA CHAMA
CHAMA CHA MAPINDUZI
03/05/2016








All the contents on this site are copyrighted ©.