2015-10-23 14:56:00

Papa atangaza kuanzishwa kwa Idara mpya kwa ajili ya Walei, familia na maisha


Baba Mtakatifu Francisco, Alhamisi jioni akishiriki katika kikao cha Sinodi, alidokeza juu ya kuundwa kwa idara mpya itakayounganisha mabaraza Mawili yaliopo sasa , Baraza la Kipapa kwa ajili ya Maisha na Baraza la Kipapa kwa ajili ya walei na familia. Na kwamba, maelezo zaidi yatatolewa baada ya Majadiliano ya Mkutano wa Baraza la Makardinali Mwezi Desemba mwaka huu.  








All the contents on this site are copyrighted ©.