2015-09-20 17:23:00

Papa Francis amekuwa papa watatu kutembelea kisiwa cha Quba


 

Papa Francis amekuwa papa wa tatu kutembelea kisiwa cha Quba  ambapo kwa mara ya kwanza Papa Yohane Paulo alitembelea humo kuanzia Januari 21-26 , 1998 akafuatia Papa Benedict XVI  Mach 26-29 , 2012 .

Kauli mbiu ya Papa Francis ya kutembelea nchi hiyo ni  “mmisionari wa huruma”

Kauli mbiu hiyo inakwenda sambamba na mwaka wa jubile ya huruma itakayoanza Desemba 8 mwaka huu.

 Historia fupi ya mji mkuu   Habana  Quba: Habana ilianzishwa na Diego Velazguez mwaka 1514 kaskazini mashsriki ya kisiwa , kuotoka mikononi mwa ukoloni wa kispania wa kutoka Mexco na Peru.

 Ilikuwa bandari kubwa na maalufu ya Marekani  ambayo ilikuwa wakipakia shaba kuelekea  Ispania. Baada ya ushindi wa wafaransa 1555 walipata utawala wa kikloni kutoka uingereza kwa miezi kuminamoja 1762 ambao walweza kuimarisha mipango ya ulinzi  na kutenegeneza mji mpya .

 Haba umekuwa mji mkuu kuanzia 1607 hadi leo ni mju mkubwa wa Visiwa vya Carribien, ambapo kuna takribani ya watu milioni mbili wanaoishi  ikiwa ni moja ya tano ya kisiwa cha Quba . pamoja na kuwa mji mkuu pia ni makao makuu ya vivanda vingi … Lakini pia  mji mkuu huo unakabiliwa na uchafuzi wa mazingira kutokana na viwanda  kutokana miundo mbinu mibaya ya utupaji wa takataka na pia ukosefu wa maji.








All the contents on this site are copyrighted ©.