2014-08-06 09:06:17

Ukikumbatia sana utajiri, utaipoteza roho yako!


Kuna baadhi ya watu wanadhani kwamba, furaha ya kweli inapatikana kutokana na wingi wa mali ambayo mtu amejikusanyia katika maisha yake. Kwa wengine, furaha hii inajikita kwa kuwa na mamlaka pamoja na madaraka hata kama mambo haya yanapatikana kwa kwa kupindisha sheria na kanuni maadili. Hatari ya tatu ni sifa ambazo mtu anazitafuta kwa nguvu mara baada ya kujipatia mali na madaraka.

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, ukijilimbikizia utajiri kama hazina ya maisha yako, utapoteza roho yako!







All the contents on this site are copyrighted ©.