2014-05-22 08:38:15

Rais Ivanov wa Macedonia akutana na Papa Francisko mjini Vatican


Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 21 Mei 2014 amekutana na kuzungumza na Rais wa Gjorgje Ivanov wa Jamhuri ya Macedonia, iliyokuwa Yugoslavia ya zamani pamoja na ujumbme wake. Viongozi hawa wawili wamejadili masuala ya kitaifa na kimataifa kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya wengi!







All the contents on this site are copyrighted ©.