2014-05-01 11:32:15

Mei Mosi: Zingatieni utu na mafao ya wengi!


Katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Baba Mtakatifu Francisko anawaomba viongozi wa kisiasa kuzingatia mambo makuu mawili: utu na heshima ya binadamu na mafao ya wengi. Wafanyakazi sehemu mbali mbali duniani wameiadhimisha siku hii kwa maandamano makubwa, semina na mikutano maalum pamoja na kutoa zawadi kwa wafanyakazi bora. Wale waliosahaulika kwa mwaka huu, wasikate tamaa, waendelee kuongeza juhudi, bidii na maarifa katika kazi.







All the contents on this site are copyrighted ©.