2014-04-04 12:29:09

Maaskofu kutoka Tanzania wateta na Papa Francisko


Kundi la kwanza la Maaskofu Katoliki Tanzania waliokutana na kuteta “mawili, matatu” na Baba Mtakatifu Francisko wakati wa hija yao ya kitume mjini Vatican, tarehe 4 Aprili 2014 ni kama ifuatayo:

* Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, Jimbo Katoliki Dodoma

* Askofu Salutaris Melchior Libena, Jimbo Katoliki Ifakara

* Askofu Agapiti Ndorobo, Jimbo Katoliki Mahenge

* Askofu Telesphor Mkude, Jimbo Katoliki Morogoro


* Askofu Augustine Shao, Jimbo Katoliki Zanzibar

* Askofu mkuu Paul R. Ruzoka, Jimbo kuu la Tabora na msimamizi wa kitume Jimbo Katoliki Kigoma

* Askofu Ludovick Joseph Minde, Jimbo Katoliki Kahama

* Askofu Damian Kyaruzi, Jimbo Katoliki Sumbawanga
Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki Mpanda

* Askofu msaidizi Eusebius Alfred Nzigilwa, Jimbo kuu la Dar es Salaam.








All the contents on this site are copyrighted ©.