Mama Kanisa anapomwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa ajili ya maisha
na huduma inayotolewa na Baba Mtakatifu Francisko, mwaka mmoja tangu alipochaguliwa
kuliongoza Kanisa Katoliki, Papa Francisko anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi
mema kumwombea kwa maneno machache kabisa katika lugha ya Kilatini, "Orate pro
me!