2014-02-18 13:37:19

Jifunzeni kusali, kusamehe na kupandikiza amani!


Kukosa na kukoseana ni sehemu ya ubinadamu; kusamehe na kusahau ni kuanza hija ya utakatifu wa maisha. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kujifunza kutoka kwa Kristo jinsi ya kusali vyema; kusamehe na kupandikiza mbegu ya amani.

Waamini wajifunze kujenga na kuimarisha mshikamano na maskini pamoja na wote wanaosukumizwa pembezoni mwa Jamii.







All the contents on this site are copyrighted ©.