2014-02-03 11:16:08

Jengeni imani kwa Kristo!


Ni jambo la muhimu kwa mtu kuwa na rafiki ambaye ana mwamini na kumthamini, mtu ambaye anaweza kumshirikisha undani wa maisha yake kwa uhuru kamili. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, ni vyema kuwa na rafiki unayemwamini.

Lakini ni jambo bora zaidi kuwa na imani kwa Kristo, ambaye kamwe hamwezi kudanganya!







All the contents on this site are copyrighted ©.