2014-01-31 14:14:39

Askofu mkuu Franco Coppola ateuliwa kuwa ni Balozi Mpya wa Vatican nchini Jamhuri ya Watu wa Afrika ya Kati


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Franco Coppola kuwa Balozi Mpya wa Vatican nchini Jamhuri ya Watu wa Afrika ya Kati, Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Franco Coppola alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Burundi.







All the contents on this site are copyrighted ©.