2014-01-30 15:45:29

Askofu Michele Russo ang'atuka kutoka madarakani


Baba Mtakatifu Francisko amekubali ombi lililowasilishwa kwake na Askofu Michele Russo wa Jimbo Katoliki Doba la kutaka kung'atuka kutoka madarakani kadiri ya sheria za Kanisa namba 401, Ibara ya 2.

Wakati huo huo, Baba Mtakatifu amemteua Askofu Miguel Angel Sebastian Martinez, M.C.C.J wa Jimbo la Lai, Chad kuwa Msimamizi wa kitume wa Jimbo Katoliki Doba.







All the contents on this site are copyrighted ©.