2014-01-28 12:14:58

Askofu mkuu Ilson de Jesùs Montanari ateuliwa kuwa Katibu mkuu wa Dekania ya Makardinali


Baba Mtakatifu Francisko, amemteua Askofu mkuu Ilson de Jesus Montanari kuwa Katibu mkuu wa Dekano ya Makardinali. Ataendelea pia kuwa ni Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Maaskofu.







All the contents on this site are copyrighted ©.