2014-01-18 16:15:42

Askofu mkuu Martin Krebs ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican kwenye Visiwa vya Tonga


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Martin Krebs kuwa Balozi Mpya wa Vatican kwenye Kisiwa cha Tonga. Ataendelea pia kuwa ni Balozi wa Vatican kwenye Visiwa vya News land, Cook, Fiji, Kiribati, Palau, Samoa, Jamhuri ya Watu wa Asia ndogo.

Askofu mkuu Krebs atakuwa pia ni Mwakilishi wa kitume kwenye Bahari ya Pacific.







All the contents on this site are copyrighted ©.