2014-01-16 08:00:43

Tume ya Makardinali inayosimamia na kuratibu shughuli za Benki ya Vatican kuendelea na kazi yake


Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uteuzi wa Tume ya Makardinali inayosimamia na kuratibu shughuli za Benki ya Vatican, IOR, ambayo kwa sasa inaundwa na Makardinali: Christoph Schornborn, Thomas Christopher Collins, Jean Louis Tauran, Santos Abril y Castillos na Kardinali mteule Pietro Parolin.







All the contents on this site are copyrighted ©.