2014-01-15 12:02:18

Papa aridhia uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini


Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uteuzi wa Kardinali Marc Ouellet, Rais wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini; Professa Guzman Carriquary, Katibu pamoja na kuridhia uteuzi wa wajumbe waliokuwa wanaunda Tume hii.

Baba Mtakatifu ameteuwa pia baadhi ya wajumbe ili kuongeza tija na ufanisi zaidi.







All the contents on this site are copyrighted ©.