2014-01-11 12:04:43

Wazee ni hazina muhimu sana katika Jamii


Inasikitisha kuona na kusikia nyanyaso na mauaji ya wazee kutoka sehemu mbali mbali za dunia. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, hakuna sababu ya msingi ya kumfanya mzee yeyote yule kujisikia kuwa uhamishoni katika familia. Wazee ni hazina muhimu sana katika Jamii.







All the contents on this site are copyrighted ©.