2014-01-06 15:57:37

Papa Francisko: Asanteni sana kwa matashi mema ya Noel na mwaka mpya


Papa amewashukuru wote waliomtumia salaam za matashi mema na fanaka za mwaka mpya.
Papa ametoa shukukurani hizo katika ujumbe wake kwenye ukurasa wake wa tweet @ Pontifex, ambao hutolewa katika lugha tisa. Papa alimalizia shukurani hizo pia kwa kuwatakia wote Baraka tele za Bwana.








All the contents on this site are copyrighted ©.