2013-12-31 11:40:55

Jichoteeni amani na furaha ya ndani kutoka kwa Yesu


Mama Kanisa anapojiandaa kuadhimisha Siku kuu ya Bikira Maria Mama wa Mungu sanjari na Siku ya 47 ya Kuombea amani duniani, Baba Mtakatifu Francisko, anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii kutoka katika Pango la Mtoto Yesu, kujichotea furaha na amani inayoletwa na Yesu Kristo.







All the contents on this site are copyrighted ©.