2013-12-30 14:59:09

Njooni tumwabudu Mtoto Yesu!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawakumbusha kwamba, wanapotafakari sura ya Mtoto Yesu, wanatafakari pia uso wa Mwenyezi Mungu. Mwaliko wa kwenda kumwabaudu!







All the contents on this site are copyrighted ©.