2013-12-27 11:31:34

Furaha ya Injili iendelee kububujika mioyoni mwenu wakati wa Noeli!


Mama Kanisa anaendelea kuadhimisha Oktava katika Kipindi hiki cha Noeli. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaalika kuhakikisha kwamba, Furaha ya Injili daima inajikita katika mioyo yao, hasa katika kipindi hiki cha Noeli.







All the contents on this site are copyrighted ©.