2013-12-20 13:36:07

Siku kuu ya Noeli, Yesu apewe kipaumbele cha kwanza


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kwa namna ya pekee katika Siku kuu ya Noeli kuhakikisha kwamba, wanaiadhimisha mintarafu changamoto za Kiinjili, kwa kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Yesu katika maisha na vipaumbele vyao.

Baba Mtakatifu Francisko, Jumamosi asubuhi anatarajiwa kukutana na Makardinali, Maaskofu na wasaidizi wake wa karibu kama sehemu ya utamaduni wa kutakiana kheri na matashi mema wakati wa Maadhimisho ya Siku kuu ya Noeli.







All the contents on this site are copyrighted ©.