2013-12-19 15:37:50

Papa Francisko aridhia uteuzi wa Kardinali Angelo Amato


Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uteuzi wa Kardinali Angelo Amato, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la kuwatangaza waamini kuwa wenyeheri na watakatifu. Ameridhia pia wajumbe waliokuwa wanaunda Baraza hili sanjari na kuwateua wajumbe wengine, ili kuimarisha utume na dhamana ya Baraza hili la Kipapa.







All the contents on this site are copyrighted ©.