2013-12-19 15:35:25

Ombeni neema ya kuona dunia siyokuwa na baa la njaa!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, anawaalika kumwomba Mwenyezi Mungu neema itakayowawezesha kuona dunia isiyokuwa na watu wanaofariki dunia kutokana na baa la njaa!







All the contents on this site are copyrighted ©.