2013-12-18 06:50:08

Upendo wa Mungu ni kwa binadamu wote, anawaita kwa majina!


Baba Mtakatifu Francisko wakati huu anapomshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutimiza miaka 77 tangu alipozaliwa anasema kwamba, upendo wa Mungu si masuala ya ujumla. Mwenyezi Mungu anaonesha uso wake wa upendo kwa kila mtu na anamwita kwa jina lake kamili!







All the contents on this site are copyrighted ©.