Askofu mkuu Luigi Bonazzi ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Canada
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Luigi Bonazzi, kuwa Balozi mpya wa Vatican
nchini Canada. Kabla ya uteuzi wake, Askofu mkuu Luigi Bonazzi alikuwa ni Balozi wa
Vatican nchini Lithuania, Estonia na Lettonia.