2013-12-13 09:04:58

Furaha ya Kanisa ni kumtangaza Kristo!


Kanisa ni chemchemi ya furaha ya kweli ya mwanadamu inayobubujika kutoka kwa Kristo mwenyewe. Baba Mtakatifu katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema, ni vigumu kufikiria Kanisa ambalo halina furaha! Furaha ya Kanisa ni kuwatangazia watu wote Injili ya Yesu Kristo!







All the contents on this site are copyrighted ©.