2013-12-10 09:27:53

Dunia inawahitaji Wasamaria wema!


Katika ulimwengu wa utandawazi usiojali wala kuguswa na mahangaiko na shida za jirani, Baba Mtakatifu Francisko anawauliza watumiaji wa mitandao ya kijamii, Je, ukikutana na mtu anakuomba msaada, uko tayari kusimama na kumsaidia kadiri ya uwezo wako?

Baba Mtakatifu anasema, kuna umaskini mkubwa wa hali na kipato na kwamba kuna idadi kubwa ya watu wenye shida na mahangaiko ya ndani wanaohitaji kukutana na Wasamaria wema!







All the contents on this site are copyrighted ©.