2013-12-07 15:35:04

Tumieni karama na vipaji vyenu kwa ajili ya huduma ya Injili


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, anawaalika vijana kuhakikisha kwamba, wanatumia karama na vipaji walivyokirimiwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya huduma ya Injili, kwa kukazia kipaji cha ugunduzi na upendo usiokuwa na mipaka.







All the contents on this site are copyrighted ©.