2013-12-06 08:11:15

Utakatifu ni kutekeleza mambo ya kawaida kwa upendo na imani thabiti!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawakumbusha kwamba, utakatifu si kufanya mambo ya ajabu, bali ni kutekeleza yale mambo ya kawaida kwa upendo na imani thabiti! Jaribu, nawe utaonja siri ya mafanikio!







All the contents on this site are copyrighted ©.