Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema
kwamba, Msalaba ni kielelezo cha upendo wa kweli. Anawaalika waamini na watu wote
wenye mapenzi mema kumwomba Kristo nguvu ya kuweza kukubali na kubeba vyema Misalaba
ya maisha yao!