Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawauliza
kama wanajisikia kuelemewa mno na uzito wa dhambi wanazotenda! Wapige moyo konde na
kumwendea Kristo ili kuomba huruma na msamaha wakisema! Bwana nihurumie, nisaidie
kusimama tena, badilisha moyo wangu!