2013-11-30 15:31:33

Kumbatieni huruma na msamaha wa Mwenyezi Mungu


Mama Kanisa anapokianza kipindi cha Majilio, nafasi ya kujiandaa kwa ajili ya ujio wa Kristo katika hija ya maisha ya binadamu, Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema, Mama Kanisa anawaalika watu wote kukumbatia huruma na msamaha unaopata chimbuko lake kutoka kwa Mwenyezi Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.