2013-11-30 08:36:24

Jimbo la Manzini lapata Askofu Mpya


Ijumaa , Papa Francisko alitangaza kumtea Mons. José Luis Gerardo Ponce de León, I.M.C., kuwa Askofu mpya wa jimbo la Manzini Swaziland. Hadi uteuzi huu alikuwa ni Vika wa Kitume wa Ingvavuma. Na pia,Askofu Mteule Josè, Papa ameteua aendelee kuwa Mtawala wa Kitume katika nafasi iliyo acha wazi, ya Vika mtawala wa Kitume wa Ingvavuma.








All the contents on this site are copyrighted ©.