2013-11-28 14:14:04

Askofu Balthason Ramaroson ateuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Antsiranana, Madagascar


Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 27 Novemba 2013 amekubali ombi la Askofu mkuu Michel Melo kung'atuka kutoka madarakani kadiri ya sheria za Kanisa namba 401ยง 1 na badala yake Baba Mtakatifu amemteua Askofu Benjamin Marc Balthason Ramaroson kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Antsiranana, nchini Madagascar.

Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu mteule Balthason Ramaroson alikuwa ni Askofu wa Jimbo Katoliki Farafangana.







All the contents on this site are copyrighted ©.