2013-11-27 14:45:52

Wapelekeeni wengine furaha ya Injili ya Kristo!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, Kanisa kwa asili ni la kimissionari. Kristo anawaalika Wakristo kupeleka furaha ya Injili kwa watu wote duniani.







All the contents on this site are copyrighted ©.