2013-11-23 15:30:27

Sakramenti ni kielelezo cha uwepo endelevu wa Kristo kati ya watu wake!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Sakramenti ni kielelezo cha uwepo endelevu wa Kristo miongoni mwa wafuasi wake. Kutokana na umuhimu huu, kuna haja kwa waamini kuungama mara kwa mara na kupokea Ekaristi Takatifu kama inavyostahili.







All the contents on this site are copyrighted ©.