2013-11-15 09:52:12

Tunzeni mazingira na kuwahudumia wahitaji zaidi!


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika kwa namna ya pekee watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhakikisha kwamba, wanatunza mazingira. Lakini zaidi wanahimizwa kuwahudumia watu ambao wanakosa mahitaji msingi ya maisha.







All the contents on this site are copyrighted ©.