Papa Francisko Alhamiso hii 14 Novemba 2013, anatazamia kumtembelea Rais Giorgio Napolitano
wa Italia katika makao makuu yake ya mjini Roma, yanayojulikana kwa jina Quirinale.
Papa Pio X11, alikuwa ni Papa wa kwanza, kuitembelea Ikulu ya Italia, hapo
Desemba 28 , 1939, ambako alikutana na Mfalme Victoria Emmanuel 11 na Malkia Elena.