2013-11-12 07:04:43

Mwenyezi Mungu anakupenda!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawahakikishia kwamba, Mwenyezi Mungu anawapenda. Anawaalika kugundua upendo wa Mungu katika maisha yao na kujisikia kwamba, kwa hakika wanapendwa na Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.