2013-11-08 15:31:12

Jishikamanisheni na Injili kwa dhati kabisa!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, Kanisa karibu linafunga Mwaka wa Imani ambao umekuwa ni kipindi cha neema na baraka. Anamwomba Kristo awasaidie waamini kumwilisha Injili kwa dhati kabisa katika maisha yao!







All the contents on this site are copyrighted ©.