2013-11-07 15:09:42

Papa Francisko kukutana na Rais Putin mjini Vatican


Rais Wladimir Putin wa Russia, tarehe 25 Novemba 2013 majira ya jioni, atakutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko mjini Vatican. Habari hizi zimethibitishwa na Padre Federico Lombardi, msemaji mkuu wa Vatican. Tukio hili la kihistoria litafanyika mara tu baada ya Maadhimisho ya Mwaka wa Imani, uliotangazwa na kuzinduliwa na Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto XVI. Hili nalo litakuwa ni tukio la kihistoria baina ya viongozi hawa wawili.







All the contents on this site are copyrighted ©.