2013-10-27 08:18:55

Jitahidini kuishi utandawazi wa mshikamano!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasikitika kusema kwamba, kwa bahati mbaya watu wengi wanashiriki katika utandawazi usiojali; watu sasa waanze kujitahidi kuishi utandawazi wa mshikamano!







All the contents on this site are copyrighted ©.