2013-10-22 15:31:31

Msalaba ni kielelezo cha upendo unaoshinda ubaya na dhambi


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anabainisha kwamba, Msalaba si kielelezo cha kushindwa, bali ni ushuhuda wa Upendo unaoshinda ubaya na dhambi.







All the contents on this site are copyrighted ©.