2013-10-18 09:28:13

Jengeni uhusiano endelevu na Mungu kwa njia ya sala!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii anasema, sala za waamini haziwezi kufungwa katika kipindi cha saa moja, siku ya jumapili; ni muhimu kujenga na kudumisha uhusiano na Mungu kila siku.







All the contents on this site are copyrighted ©.