2013-08-27 15:23:08

Kristo ni mlango wa uzima wa milele!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anabainisha kwamba, Yesu Kristo ndiye Mlango unaowaelekeza watu kwenye maisha ya uzima wa milele; mlango ambao uko wazi kwa wote.

Baba Mtakatifu anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema, kumwachia wazi malango ya maisha yao ili aweze kuingia na hatimaye, kuwasaidia kuondokana na ubinafsi, hali ya kutojali wala kuguswa na mahangaiko ya wengine, kwa kujifungia katika ubinafsi wao!







All the contents on this site are copyrighted ©.